Uruguay

República Oriental del Uruguay
Jamhuri ya Mashariki ya Uruguay
Bendera ya Uruguay Nembo ya Uruguay
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Libertad o Muerte (Uhuru au Mauti)
Wimbo wa taifa: Orientales la Patria o la Tumba!
Lokeshen ya Uruguay
Mji mkuu Montevideo
34°53′ S 56°10′ W
Mji mkubwa nchini Montevideo
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Luis Lacalle Pou
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa

25 Agosti 1825
28 Agosti 1828
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
176,215 km² (ya 91)
1.5
Idadi ya watu
 - Julai 2022 kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,407,213 (ya 132)
3,286,314
19.8/km² (ya 206 1)
Fedha Peso ya Uruguay (UYU)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-3)
(UTC-2)
Intaneti TLD .uy
Kodi ya simu +598

-


Ramani ya Uruguay.

Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando ya Atlantiki.

Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam.

Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji: mdomo mpana wa mto Rio de la Plata uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini-mashariki.

Mji mkuu ni Montevideo wanapoishi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa nchi (1,900,000 kati ya 3,407,000 hivi).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search