Uswidi

Konungariket Sverige
Ufalme wa Uswidi (Sweden)
Bendera ya Uswidi Nembo ya Uswidi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: För Sverige i tiden1
(Kiswahili: "Kwa Uswidi, wakati wake")
Wimbo wa taifa: Du gamla, du fria
("Wewe kizee,wewe huru")
Lokeshen ya Uswidi
Mji mkuu Stockholm
59°21′ N 18°4′ E
Mji mkubwa nchini Stockholm
Lugha rasmi
Kiswidi2
Serikali Ufalme wa kikatiba
Carl XVI Gustaf
Magdalena Andersson
Kuungana kwa nchi
{{{established_events}}}
{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
450,295 km² (55)
8.7%
Idadi ya watu
 - 2021 kadirio
 - 2013 sensa
 - Msongamano wa watu
 
10,402,070 (2021) (88)
9,658,301
25/km² (198)
Fedha Swedish krona (SEK)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .se
Kodi ya simu +46
1 För Sverige i tiden ni kaulimbiu ya mfalme Carl XVI Gustaf
2 Kiswidi ni lugha ya kitaifa kuanzia mwaka 2009. Lugha nyingine tano zimekubalika rasmi kama lugha za vikundi vidogo ndani ya taifa.


Uswidi (kwa Kiswidi: "Sverige") ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Ufini (Finland) na Norwei.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search