Utawala

Julius Nyerere aliyekua Mtawala wa Tanzania mwaka 1977-1985
Donald Trump Mtawala wa Marekani Mwaka 2017-2021

Utawala (kutoka neno la Kiarabu) ni mamlaka na haki ya kuongoza. Ni jambo lisiloepukika katika maisha ya pamoja ya binadamu.

Utawala umejitokeza kwa namna nyingi katika ngazi mbalimbali katika historia ya dunia.

Kwa mfano, utawala unaweza kuwa wa kisiasa juu ya nchi au kabila katika jamii husika.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search