Uzalishaji

Mavuno ya ngano kwa vifaa vya kisasa yanawatimizia wengi mahitaji ya chakula.

Uzalishaji (kutoka kitenzi kuzaa, kilichonyambulishwa kuwa kuzalisha) ni mchakato wa kutumia akili, ujuzi n.k. ili kufanya mali na vitu kwa jumla viongezeke kulingana na mahitaji ya binadamu, kuanzia chakula[1] The area of economics that focuses on production is referred to as production theory, which in many respects is similar to the consumption (or consumer) theory in economics.[2], badala ya kutarajia viwatoshe daima kama ilivyo katika maisha ya wawindaji-wakusanyaji wanaoendeleza utamaduni wa watu wa kale hadi miaka 10,000 hivi iliyopita.

Ndipo wengine walipoanza shughuli za ufugaji na kilimo zilizosababisha ustaarabu uliozidi kustawi na kuenea duniani kote pamoja na namna nyingi za uchumi.

  1. "Kotler", P., Armstrong, G., Brown, L., and Adam, S. (2006) Marketing, 7th Ed. Pearson Education Australia/Prentice Hall.
  2. Sickles, R., & Zelenyuk, V. (2019). Measurement of Productivity and Efficiency: Theory and Practice. Cambridge: Cambridge University Press. doi:10.1017/9781139565981

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search