Wahamaji

Wabeja katika Afrika Kaskazini Mashariki.
Watuareg nchini Mali, 1974.

Wahamaji ni watu wasio na makao ya kudumu ama kwa sababu ya kuwa wawindaji-wakusanyaji, ama kwa kuwatimizia mahitaji mifugo yao katika mazingira magumu, ama kwa sababu wanazunguka daima kuuza bidhaa zao.

Mwaka 1995 walikadiriwa kuwa milioni 30-40 duniani kote.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search