Waikoma

Waikoma ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara.

Lugha yao ni Kiikoma.

Familia za Waikoma zimegawanyika katika milango minane (Bhehita 8).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search