Walogo

Walogo (pia: Walogoa) ni kabila la Waniloti wanaoishi kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1][2], magharibi mwa Uganda na kusini mwa Sudan Kusini. Walikimbilia huko kutoka Sudan.

Lugha yao, Kilogo au Kilogoti, ni ya kundi la lugha za Kinilo-Sahara[3].

Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 300,000.

  1. Omasombo Tshonda, Jean (2011). Haut-Uele. Tervuren: Royal Museum for Central Africa. uk. 93. ISBN 978-2-8710-6578-4.
  2. Appiah, Anthony; Gates, Henry Louis, Jr., whr. (2010). "Logo". Encyclopedia of Africa. Juz. la I. Oxford: Oxford University Press. uk. 84. ISBN 9780199733903.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: multiple names: editors list (link)
  3. "Logo". Ethnologue: Languages of the World. Iliwekwa mnamo 15 Oktoba 2016.{{cite encyclopedia}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search